
Asia akionyesha moja ya vivazi vyake vintakavyotia fora kwenye mitindo nite itakayofanyika Houston,TX siku ya Christmas

Asia Idarous(shoto)akiwa na mpdel wake wakikupa vionjo vya Khanga

Model akikuonyesha kivazi kilichotia fora kwenye mitindo nite iliyofanyika Millenium Nov 27,2010

Mambo jamani hayo Houston Mpo kaeni mkao wa kula

Mambo ya Khanga hayo,Mshindwe wenyewe Houston

Hebu cheki mwenyewe kivazi kilivyomkaa,Asia Idarous kweli hana mpinzani

Model akionyesha vazi la Khanga,ebu cheki style yake

Asia Idarous(wa pili kushoto) Models na Ma Winny(wa pili kulia) katika U-kodak moment
No comments:
Post a Comment