ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 8, 2011

Image
Mtaalamu  wa masafa ya Mawasiliano katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Ikuja Jumanne  akimpa maelezo Rais Jakaya Kikwete jinsi mitambo ya kudhibiti mawasiliano inavyofanya kazi wakati wa Ufunguzi wa jengo la Mamlaka hiyo uliofanyika Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa TCRA, Prof. John Nkoma, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano TCRA, Innocent Mungi (kulia). (Picha na Freddy Maro)

No comments: