Muziki Munene,Muziki wa Mutu Mukubwa,Muziki wa Bakulutu,Ijumaa hii na Kila Ijumaa Millenium Club
Bila kusahau chakula safi cha Kibongo kwa bei nafuu

Ijumaa ya March 25,2011 kutakua na shindano la kucheza YENU,kama unafikiri unayaweza kuyarudi na kujinyakulia Donge nono basi usisite kuijiandisha.jiandikishe kupitia djlukejoe@gmail.com
MSHINDI WA KWANZA-$300
MSHINDI WA PILI -$150
MSHINDI WA TATU -$50
No comments:
Post a Comment