Faith Isingo(kulia) na Faraja Isingo(kati) wakijiandaa kukata keki
Nishike mkono iliwajue tunavyopendana
Nilishe
nikulishe iwe ishala ya mapendo.Hayo ni maneno katika wimbo wa Maquiz Du Zaire ulioimbwa miaka kadhaa nyuma
Faith akimlisha keki mama Mkwe,Mama Isingo
Faraji akimlisha keki Mama Mkama
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Aunt Majida(MC) kwenye shower ya mtoto ya Faraja na Faith Isingo
Mashahidi wakishuhudia kulishwa kwa keki
No comments:
Post a Comment