![]() |
| Mtaalamu msaidizi wa rubani wa ndege za kijeshi za Jeshi la China, aliyetambuliwa kwa jina moja la Gao, akimwonesha Rais Jakaya Kikwete namna urushaji wa ndege ya kijeshi kutoka China wakati Rais alipotembelea Kikosi cha Anga cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Dar es Salaam. (Picha na Amour Nassor). |

No comments:
Post a Comment