![]() |
| Unaweza kushangaa gari lililokuwa limembeba Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, aina ya Toyota Land Cruiser , limefikaje hapo, lakini ndivyo ilivyokuwa kwa kuwa dereva alilazimika kuacha njia ili asigongane na mwendesha pikipiki katika barabara ya Morogoro- Dar es Salaam. (Picha na John Nditi). |

No comments:
Post a Comment