ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 14, 2011

Kisomo cha NJIT kutimiza mwaka 1I Jumamosi May 14,2011 Gaithersburg,MD

Jumamosi May 14,2011 ilikua kisomo cha Marehemu Njiti kilichofanyikia Gaithersburg,Maryland,kiliwakutanisha wadau mbalimbali kutoka mikoani
Abby Mtulia(kulia) akiwa na kaka wa Marehemu Abdelle
Abdelle(mwenye mtoto)akiwa na ndugu na jamaa
Abdelle akiwa na mdau aliyekuja kwenye kisomo
Ndugu na jamaa wakiwa kwenye kisomo.
Kwa picha zaidi bonyeza read more

No comments: