ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 7, 2011

Mazoezi ya Pamoja Kesho,Meadowbrook Park

Mnakumbushwa mazoezi yataendelea tena kesho May 8,2011 saa 11 jioni kulikua na wasi wasi wa mvua lakini chances ni ndogo tafadhali tufike kwa wingi ndio msimu wenyewe huu
ukisoma ujumbe huu mtaarifu mwingine

No comments: