Wadau wa VIJIMAMBO nina maswali nisiyokua na majibu nayo kuhusu maswala ya muziki najua wengi wenu mtakua mnafahamu hasa maneno yanayotumia kwenye muziki siku hizi.
1.Sielewi Tofauti ya Featuring na Duet
2.Wanapoimba waimbaji 3,au 4 kwa pamoja wanaitwaje
3.Solo Album ina maana gani.
Naomba msaada wenu wakunasuliwa kwenye tope
Asante,Mpwa
4 comments:
featuring inamaana wimbo ni wa mwanamuziki A, then mwanamuziki B anakiseheme kidogo tu cha kuimba, na mapato ya mwanamuziki B ni kidogo pia sababu wimbo sio wake amekaribishwa tu kuimba.
Duet ni wanamuziki wa vikundi tofauti kuimba wimbo mmoja 50/50 na mapato ni 50/50 na rights za wimbo pia.
2.kikundi/group, kama hawapo kundi moja inaweza kuwa featured or duet
3.solo album ni album inayoimbwa na mwanamuziki mmoja, no featuring anyone no duet
i hope nimekusaidia kuelewa
Featuring is when an artist is invited to sing in someone's else song but he just sing a small part of the song.
Duet;comprises of only two people,they can sing along or one can sing one sentence and the other one sing the next.
Solo; Solo means one.This comprises of one singer only.
3or 4 people singing together i dont know but will do some research and give you some feedback.but i know a group of people singing together is a band or choir doesnt really matter how many people.When is your exams?All the best dj Luke.
I agree with Anonymous posted at 5:51 AM. When 3, 4 or more people sing together as was the case in "We are the world", it is called collaboration. My two cents. Way to go wakwetu, aulizaye ataka kujua!
wewe ni uzee unakusumbua,kama hujui vitu hivi,then u call ur self DJ,that is borsheet!!!!!
Post a Comment