Watanzania waishio New York Marekani, wakiwa kwenye kisomo cha hitima ya kumuombea marehemu RAHMA MOHAMMED MSHANGAMA aliye kuwa Waziri wa Wanawake na Watoto katika serikali ya Mapinduzi ZANZIBAR. Aliyefariki dunia mwezi wa APRIL mwaka huu. Kisomo hicho kilifanyika OZONE PK, BROOKLYN, New York.Picha juu ni Maustadhi waliongoza Kisomo hicho kutoka shoto ni ustaadhi AKIDA,ABAS ,MASUD MAFTAH NA HAMZA MANDIA ambae hayuko kwenye picha, picha kwa hisani ya mwana blog ya jamii New York City, Ebra Ny.
No comments:
Post a Comment