Advertisements

Tuesday, May 31, 2011

Image
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi barabara ya Usagara- Geita mjini Misungwi, Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro, Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli na Mbunge wa Misungwi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga. (Picha na Freddy Maro).

No comments: