ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 3, 2011

CATHERINE NA DIANA WAKAMATA NONDOZ

 
Nondoozzz
Diana(shoto) akiwa na Catherine ambao leo Ijumaa June 3,2011 waalikua pamoja kwenye Graduation iliyofanyika University of Maryland
Juu na chini ni Justine akiwavisha Taji Diana na Catherine 
Catherine akionyesha Nondoz yake
Catherine na Diana kwenye U-kodak Moment
Diana na Catherine wakiwa na mwenzao wakipata U-kodak moment
Catherine akiwa na mama yake kwenye Graduation hiyo
Catherine akiwa na dada yake Omby
Familia ya Nyongole katika U-kodak moment
Kwa picha zaidi bonyeza Read more

No comments: