ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 3, 2011

kutoka New York City

Ajali iliyosababishwa na taxi bubu mchana huu na kusababisha  kupoteza maisha ya mtu mmoja mlemavu alie kuwa anatembelea wheelchair. Ajali hiyo ilitokea makutano ya 145 st na 7th ave uptown Harlem New york city.na kusababisha makutano ya barabara hizo kufungwa kwa muda. Haya ndio maeneo anayoishi ripota wa Vijimambo Ebra New York City. Picha kwa hisani ya NY Ebra!

No comments: