Mambo ya Kitchen Party Hayo
Keki ya Best Wishes
Jackie amependeza sana
Jackie akiwa na Iron Lady(Loveness)
Jackie akiwa na wageni waalikwa
Jackie akipata u-kodak na moja ya marafiki zake
Loveness akipata U-kodak moment
Bi Harusi akiwa na Loveness wakipata machopochopo
Ladies in Red,wamependeza sana.
kwa picha zaidi Bonyeza Read More
1 comment:
Hongera Jackie, shughuli yako yaonekana nzuri kwa picha..Wenyewe wadada mlipendeza sana!
Kila la kheri katika Ndoa yako.
Post a Comment