Tunakutakia kila la kheri
Hivi ndivyo ilivyokua kuhitimu kwa Muhtari Grade 8 shule ya Shaw Middle School iliyopo Gannet Patterson,Washington,DC
Muhtari akiwa amekamata Nondoz yake tayari kwa kuendelea na masomo ya Juu,Hongera sana
Muhtari akionyesha Nondoz yake huku mwanafunzi mwenzake akimuangalia kama anaeibia majawabu
Muhtari akiwa na mmoja wa walimu wake
Muhtari akiwa na mwenzake kwenye picha ya pamoja ya kumbukumbu





No comments:
Post a Comment