Mrisho Ngassa(shoto) akiwa na Mdau Amin Dola wakitoka Hotelini kwake kuelekea Airport
Amin Dola akipata Ukodak pamoja na Mrisho Ngassa
Mrisho Ngassa akiwa Airport tayari kuondoka kuelekea Tanzania ambako anatakiwa kurudi January wakati wausajili wa dirisha dogo
Mrisho Ngassa akiangana na mdau Mudrick Maajaliwa kwenye uwanja wa ndege wa Seattle(WA).Picha kwa hisani ya Amin Dola(Mayor wa Seattle)
3 comments:
Punguza uzito Mudrick, to much - Cheers
Dola Katunda yuko wapi? tuma giri hilo bongo, mafuta bei gari. Ngassa alikulipa kumupeleka Airport? Salimia Seattle
mbona sunglass wa mrisho kama ya kike!?
Post a Comment