Balozi Amina Salum Ali(shoto) akifanya mazungumzo na kisha kupiga picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia (World Bank), Ms Ngozi Okonjo- Iweala na ambaye amechanguliwa na Rais wa Nigeria , Gooluck Jonathan kuwa waziri wa fedha wa Nigeria. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi za World Bank/IMF jirani na zilipo ofisi za Umoja wa Africa, (African Union) , mjini Washington DC, nchini Marekani, ambapo Balozi Amina Salum Ali ni mwakilishi wake.
No comments:
Post a Comment