ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 16, 2011

MAENDELEO YA MSIBA WA SABASTIAN THOMAS,DC

Sabastian Thomas Enzi za Uhai wake
Watanzania wenzangu imefunguliwa A/C kwa ajili ya kusaidia gharama za funeral home na mazishi ambayo ipo chini ya Mke wa Marehemu pia unawezafika nyumbani kwa wafiwa utowe rambirambi zako
Watanzania wenzangu DMV,UMOJA NI NGUVU  

Unaweza tuma pesa kupitia BARTLET KAMNA ACCOUNT NO. 446023179268: Routing # 052001633 Bank of America.
au
5310 62nd Av
Riverdale,MD,20737
simu 301 547 3841
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi,amina


No comments: