ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 8, 2011

CHIMBUKO LETU

Habari za leo Mabloga wenzangu natumai ya kuwa mtakuwa  ni wazima wa afya njema, mimi pia nipo salama kabisa, pili hongereni  sana kwa kazi ambazo umeendelea kufanya.  nilikua naomba msaada wenu wa kunitambulishia Blog yangu kwa wadau mimi ni Kijana kutoka Mkoani Mbeya naitwa Greyson Salufu  ni Mtangazaji na mwandishi wa Habari. natanguliza Shukurani zangu. Asante sana.

Jina La Blog: Chimbuko Letu

Habari wadau wote popote Duniani, Napenda kuwakaribisha katika LibenekeChimbuko Letu.. Ambapo mtapata taarifa nyingi kutoka mikoa mbali mbali ya Tanzania Bara na visiwani pia Duniani kwa ujumla.. Asanteni sana kwa Kutembelea Chimbuko Letu na Karibuni tena.

  LINK NI http://ukurasampyahuu.blogspot.com/

Kwa pamoja Tunaendeleza Burudani na Habari.  

No comments: