Advertisements

Sunday, August 21, 2011

MISA NA KUMUAGA KIDEE BENDERA TAZANU JUMAMOSI AUG 20,2011

 
Padre akisalisha misa ya kumuaga Kidee iliyofanyikia kasisa la kilutheri lililopo SilverSpring,Maryland
Geneza la mpendwa wetu,rafiki yetu Kidee
Mama Kimolo akisoma somo la kwanza
Ernest kutoka Canada ambae ni mjomba wa marehemu akitoma historia futi ya Kidee
Mmoja ya ndugu wa mume wa Marehemu nae akielezea maisha ya marehemu kwa mfupi aliomfahamu
Mume wa marehemu Cliford Tazanu akiwa amembeba mtoto wao wa miezi mitatu hapa akiwa na dada yake Abila Tazanu
Hapa ni Mh.Balozi Mwanaidi Majar(kulia) akiwa na Mama Munanka
Bw.Abass Misana akiwa na Rosemery
Ndugu na jamaa wakifuatilia misa ya kumuaga Kidee.
Kwa picha zaidi Bofya Read More


5 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Great shots.
Thanks for sharing Kaka

Anonymous said...

Kwa kweli tuwe tunathaminiana katika hali zote namna hii. Hii ni kati ya vitu vinavyotukutanisha pamoja wakati wote.
Mungu amrehemu dada yetu Kidee.

Anonymous said...

Watanzania tuendeleze ushirikiano. God bless Tanzania na watu wake

Anonymous said...

Aksante kwa picha mungu akubariki

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

poleni sana kwa msiba!