Advertisements

Sunday, August 21, 2011

MAENDELEO YA MSIBA WA SABASTIAN,DC


Watanzania wenzangu DMV
Jumula ya pesa iliyokusanywa jana ni $8,153/=
Harambee -Cash $3,432/=
Cash kutoka kwenye kamati ya Kidee-$272/=
checks $,2,449/=
check kutoka kanisa alilokua anasali marehemu-$2,000/=
Misa ya marehemu Ijumaa Aug 26,2011 saa 3 asubuhi(9am) na kufuatiwa na maziko anuani ya kanisa na kwenye mazishi tuawaletea baadae.

Mungu awabariki sana hatuna cha kuwalipa kitakacholingana na mambo makubwa mliofanya,mpaka tumeishiwa maneno yatakayo lingana na ukarimu,mshikamano na upendo wenu kusema ukweli tumefarijika sana,tunaomba moyo huu usiishie kwetu iwe ndio ishara na kujivunia Utanzania wetu.Mungu awazidishie siku zote za maisha yenu,Amin

wale ambao hawakupata nafasi bado wanaweza kupita leo
5310 62nd AVENUE,
RIVERDALE,MD,20737

PIA UNAWEZA TUMA RAMBIRAMBI ZAKO KUPITIA MKE WA MAREHEMU BARTLET KAMNA . ACCOUNT NO. 446023179268: Routing # 052001633 Bank of America.

KWA MAELEZO NA MAELEKEZO,
SIMU 301 547 3841

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI,AMINA.

No comments: