Advertisements

Sunday, August 21, 2011

ULEVI KUPINDUKIA HUSABABISHA AJALI ENEO LA MAMA JOHN MBEYA

Mwana usalama barabarani akitoa plati namba ya gari lililopata ajali maeneo ya mama john jijini mbeya ajali hiyo imetokea jana usiku baada ya dereva wa gari hilo aina ya toyota corola kuzidiwa  kilevi na kukosa mwelekeo na kutumbukia katika dalaja
Mara baada ya ajali hiyo dereva alikimbia  hajulikani alipo na hivi ndivyo Gari linavyo onekeana kwa mbele
Huwezi amini hii gari imeingiaje hapa kwakweli madereva kuweni makini barabarani pombe ni hatari ukiona umelewa acha kuendesha gari 


Baadhi ya wananchi wakiangalia gari iliyotumbukia darajani Mama John jijini Mbeya

Picha zote na Mbeya Yetu Blog


No comments: