Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na walezi wa nyumba ya watoto yatima ya SOS Mombasa ,Zanzibar
Watoto wa kijiji cha SOS Mombasa wakipata Futari iliyoandaliwa na Mke wa Rais,Mama Mwanamwema Shein
Mke wa Rais Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi akijumuika pamoja kwenye Futari hiyo na Watoto Yatima kijijini hapo SOS Mombasa,Zanzibar
Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa wakipata Futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mama Mwanamwema Shein
Picha kwa hisani ya Othman Maulid Blog
No comments:
Post a Comment