ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 1, 2011



OFA YA NANE NANE NA RAMADHANI KUTOKA TONE INTERNET RADIO KWA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA 
Ni msimu wa Nane nane na Mfungo wa Ramadhani.. Tone Internet Radio inawaletea ofa Maalum kwa makampuni yote Yaliyopo Tanzania kutangaza Biashara zenu Bure kabisa kwa muda wa Mwezi mzima. Matangazo yawe ya aina mbili aina ya Picha yani Jpg na matangazo ya sauti, ofa hii maalum itakwenda mpaka tarehe 29.08.2011, wahi sasa nafasi ni yako. Tutumie Tangazo kupitiatoneinternetradio@yahoo.com

Kusikiliza Live Bofya hapa: TONE INTERNET RADIO

No comments: