ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 18, 2011

RATIBA YA MAZISHI MAREHEMU DADA YETU MPENDWA MACRINA JOSEPH SAMAKA

MAZISHI YATAFANYIKA SIKU YA J'MOSI TAREHE 20/08/2011 JIJINI DAR ES SALAAM

Nyumbani: ILALA SHARIFF SHAMBA
Kanisa : KANISA KATOLIKI LA MSIMBAZI
Makaburi: KINONDONI

Saa 3 asubuhi – Watu kuwasili Nyumbani kwa Mzee Samaka (Ilala Shariff Shamba)
Saa 4 asubuhi – Chakula
Saa 5 asubuhi – Sala fupi na kuaga Mwili wa Marehemu
Saa 6:30 mchana – Watu wote kuelekea Kanisani
Saa 7 mchana – Misa Kanisa la Msimbazi
Saa 8 mchana – Msafara wa kuelekea makaburini (Kinondoni)

Karibuni wote tumwage Dada yetu Mpendwa
TUTAKUKUMBUKA DAIMA
Ayubu 1:21 "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, na Jina la Bwana na libarikiwe”

No comments: