ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 28, 2011

Salamu kutoka Sydney..

Habari za masiku Dj. Luke
 
Kweli dunia ni kijiji...ni matumaini yangu hali yako na Watanzania wote ni salama ....Ninawaombea Mungu awanusuru na hayo yanayotokea huko...! ,
Dj.
Johnny Ngomeley
Principle
Cross-Cultural Ecosystems

No comments: