ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 14, 2011

BUCHA LA SIMBA NA YANGA SEPT 24,MANASSAS,VA

Bucha la mechi ya Simba na Yanga itakayochezewa Manassas,Virginia kugombea UHURU CUP kwa ajili ya miaka 50 ya ya Uhuru hapo Jumamosi Sept 24,2011 Wachezaji wote wanatakiwa wafike uwanjani 4pm tayari kwa mpambano 4:30pm
Nyasi zinavyoonekana uwanjani hapo
Goli la kasikazini ambapo Simba wamesema magoli yao yote watayafungia hapo.

No comments: