ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 11, 2011

DICOTA LOCAL COMMITTEE YAKAGUA HOTEL NA PARK

 Wanakamati wakiwa Hotel ya Marriott,Dulles Airport wakiwasubili wanakamati wengine kutoka kulia ni Asha,Mshana,Msafiri na Ejalu
Wanakamati wakiendelea kujadiliana na huku wakimsubili mwenzao huku Ejalu(Mwenye simu) akijaribu kujua yupo umbali gani kufika wengi kutokea kulia ni Isingo,Msafiri na kushoto ni Kilasara
Wanakamati wakiwa kwenye chumba cha mkutano wakimsikiliza na kumuuliza maswali Duty Manager wa Hotel hiyo
Wanakamati wakiwa ndani ya chumba chenye vitanda viwili kwa ajili ya ukaguzi na kuangalia ubora wa vyumba vitakavyofikiwa na Wageni watakao hudhulia mkutano huo.
Mmoja ya wanakamati akikagua ubora wa kitanda kwenye chumba chenye kitanda cha Mfalme
moja ya parking zilizopo kwenye kwenye hotel hiyo ya Marriott iliyopo Dulles
Wanakamati wakiwa kwenye park itakapofanyika picnic na shughuli za michezo
Maliwato yaliyopo kwenye park hiyo
Moja ya Vibanda vitakavyotumiwa kwenye nyama choma
Bucha la Simba na Yanga
Wanakamati wakigagua nyasi za uwanja na huku wakiongea mawili matatu

No comments: