Keki ya Harusi


Kushoto ni Bi harusi akilisha keki ukweni na kulia ni Bwana harusi akilisha keki ukweni


Bibi na Bwana Harusi wakipata picha za kumbukumbu na wageni waalikwa

Bibi Harusi akipata picha ya kumbukumbu na wapambe wake

Mama mzaa chema akiwa na mjukuu

Mh,Catherine Magige(shoto) akipata picha ya pamoja na na mkuu wa mkoa waAtlanta, Georgia Abdul Kimario wakiwa pamoja na Dada yetu Latifa


Wageni waalikwa wakipata picha za kumbukumbu


Kushoto ni Latifa,Mr & Mrs Mzese na kulia ni Lize James na Mkuu wa Mkoa Ohio Mr Wash


Wageni waalikwa wakipata picha za kumbukumbu
Dj Seif akipagawisha wadau(picha kwa hisani ya Latifa)
Kwa picha zaidi Bofya Read More















1 comment:
nice wedding
Post a Comment