MC(shoto) akiwa na David kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Kijiji cha Swahili Ijumaa October 14,2011 wakipata kanywaji.
kutoka kushoto ni Charles,Alice na Taji wakiendelea na burudani Kijiji cha Swahili kilichopo Beltsville,Maryland,Nchini Marekani.
Ni Charles na Alice katika Ukodak moment
Kutoka kushoto ni Hassan Matutu,Danny Kaswamila na Edgar Tiba
Majirani zetu kutoka Kenya nao hawakua mbali kwenye kamera ya Vijimambo
Pacha wa Gadner Habash utafikiri wamezaliwa tumbo moja,nae katika Ukodak Moment
No comments:
Post a Comment