ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 4, 2011

BENJA USO KWA USO NA NAPE

Mdau Benja Mwaipaja(kulia) akiwa na Katibu wa NEC ya CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wakipata picha ya pamoja walipokutana Maryland,Nchini Marekani,Nape yupo Nchini Marekani kwa shughuli za Chama..
Kama kawaida,Benja akiongea jambo inakua ni kichekesho  kama inavyoonekana hapa kwenye picha amemuacha hoi Katibu kwa kicheko.

No comments: