ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 4, 2011

KATIBU MSAIDIZI ATINGA KIJIJI CHA SWAHIHILI,BELTSVILLE,MARYLAND

Sixtus Mapunda Katibu Msaidizi Mkuu,wa Itikadi na Uenezi CCM akipa menyu ya Jioni Kijiji cha Swahili kinachomilikiwa na Mkenya kilichopo Beltsville,Maryland,Nchini Marekani,Sixtus Mapunda yupo Nchini Marekani kwa shughuli za Chama.

No comments: