Rev Mike Okututi ambae jana ilikua siku yake ya kuzaliwa na leo jumapili walikua wakishereheka kwa nyimbo za injili kutoka vikundi mbali mbali vilivyofika Kanisa la Cathedral Of Praise lililopo Greenbelt,Maryland Nchini Marekani.
Rev Karimi ambe leo ndie aliyekua MC hapa akiongea jambo kwenye sherehe hizo zilizofanyika Kanisani hapo.
Printze Ngosso akiongea jambo.
Julius Katanga akimsikiliza mchungaji.
Fay Destiny(kulia) akiimba na Rose Kachuchuru
Nancy Danu(shoto) akiimba na Malaika Ngosso
Wanakwaya wakiimba na kumsifu Mungu kwa nyimbo za Injili.
Jonathan akipuliza Saxophone
Kushoto ni Augustino(Tino)Malinda akipata picha ya pamoja na mwenzake kanisani hapo.
Kwa picha zaidi Bofya Read more
No comments:
Post a Comment