Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa katika mahojiano na Sunday Shomari yaliyofanyika Odenton,Maryland,Nchini Marekani hapa akijibu moja ya maswali alioulizwa.
Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa katika mahojiano na Sunday Shomari yaliyofanyika Odenton,Maryland,Nchini Marekani.
Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwa katika mahojiano na Mubelwa Bandio yaliyofanyika Odenton,Maryland,Nchini Marekani.
Katibu wa NEC wa CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akipata picha ya pamoja na wadau wa Maryland kutoka kulia ni Fadhili Londa,Mubelwa Bandio,na Sunday Shomari
Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye(kulia) akifanya mazungumuzo na Balozi wetu wa kudumu Umoja wa Mataifa Mh.Ombeni Sefue Ofisi za Balozi wa Tanzania mjini New York Nchini Marekani wakati wa ziara ya katibu mjini hapo.
Juu na chini ni Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye(wa saba toka kushoto picha ya juu) akipata picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa CCM Tawi la Houston,Texas,Nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment