ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 5, 2011

LEO NDIO LEO USIKU WA MTANZANIA PATAKUA HAPATOSHI


Baada ya show kabambe iliyofanyika Washington , DC
Wakali kutoka Soukouss Stars Prof. Ngouma Lokito na Lokassa Ya Mbongo wanaungana na "Mzee wa kitambaa cheupeKikumbi Mwanza Mpango - Maestro King Kiki kuja kuuwasha moto kwa mara ya kwanza kabisa katika majimbo ya New England kwenye club maarufu ya Knight of Columbus 484 Lancaster Street, LeominsterMa 01453 siku ya Jumamosi tarehe 5 Novemba 2011 kuanziasaa mbili usiku mpaka usiku wa manane.
Asya Khamsin, mama wa mitindo Lady in Red anakuja na mzigo makhsusi ili kuja kuwapagawisha wabongo kwa khanga na mitindo ya kitanzania.
Pia kutakuwa na guest Bongo flava super star atakaepanda kushow love!
Sehemu ya disco inaongozwa na our very own New England finest DJs Rich Maka na Paul Masoud  hii shughuli sio ya kukosa. Karibuni wote waambie na wengine.
Wahi tiketi yako mapema $15.00 kabla ya show na $20.00 mlangoni.
Kwa habari kamili na tiketi wasiliana na:
Siraji  978.413.1164
"Mzee wa kitambaa cheupeKikumbi Mwanza Mpango - Maestro King Kiki 
Soukouss Stars Prof. Ngouma Lokito(shoto) na Lokassa Ya Mbongo (mwenye shati jekundu nyuma ya Jojo) wakiwa pamoja na mwimbaji Mahili Jojo(kulia)
Wabongo wa DMV waloifika jana kufanikisha show ya Maestro King Kiki
Asya Khamsin, mama wa mitindo Lady in Red anakuja na mzigo makhsusi ili kuja kuwapagawisha wabongo kwa khanga na mitindo ya kitanzania.

No comments: