ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 19, 2011

KOZI YA MAKOCHA WA NGUMI MKOA WA PWANI YAOTA MBAWA

 Juu na chini ni baadhi ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuuzuria kozi ya makocha iliyotarajia kuanza jumamosi ya kesho ata hivyo kozi hiyo iliota mbawa baada ya mkufuzi alieteuliwa na chama cha ngumi cha dunia (AIBA) kupata dharura kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC) iliota mbawa na kufanyika kwa makocha hawo kutojua hatma yao baada ya kufika Pwani bila kupewa stahiki zao walizoaidiwa katika barua ikiwemo usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na chakula ambavyo awajapatiwa na kujitafutia usafiri kwa njia yao wenyewe kurudi mikoani kwao
 
Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa NChini (BFT), Michael Changalawe (kulia) akizungumza na makocha wa ngumi nchini wakati walipowasili, Kibaha Mkoa wa Pwani Juzi kwa ajili ya kozi ya mchezo huo na kuambiwa kozii hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC)  imealishwa kutokana na mkufuzi wake alieteulia kupata dhalura hata hivyo, makocha hao kutoka mikoa mbalimbali ya nchi walinyimwa stahiki zao hususani maradhi na posho za nauli za kuwaludisha mikoa walikotoka na kupatiwa kwa makocha wachache tu kinyume na barua walizopewa makocha ya kuwa watalipiwa garama zote za kwenda na kuwarudisha mikoani kwao
mashindano ya ngumi ya klova cup yamalizika
 Mabondia wa kike Mariamu Edwer (kushoto) na Matha George wakipambana wakati wa mashindano ya Kova Cup yaliyomalizika, Dar es salaam, jana Matha alishinda kwa ponti
Juu na chini ni bondia Mussa Mohamedi (kulia) akimfulumusha makonde mfululizo, Fadhili Hassani wakati wa mpambano wa mashindano ya Kova Cup yaliyomalizika, Dar es salaam jana Mussa alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: