Mkutano wetu wa tarehe 11/19/2011
umeahirishwa mpaka hapo utakapo tangazwa na tarehe rasmi na mahali utakaopo
fanyikia.
Sababu kubwa kuahirishwa kwa mkutano huu ni
Tulisahau kuwa mwisho wa mwaka kumbi nying zimejaa. Hivyo basi baadhi ya Wajumbe mmependekeza ufanyike
mwakani na hata wanajumuiya wengi wamependekea hivyo, lakini kama kuna maoni
mbalimbali yanakaribishwa kuchangia.
La muhimu,naomba tuwe tunajibu email kwani mawasiliano ili
kufanikisha shughulu hii na naelewa kila mjumbe anashughuli nyingi. Naomba dakika
5 za muda wako kuchangia maoni/email.givmb@hotmail.com
Aksanteni sana.
Givens Kasyanju.

No comments:
Post a Comment