ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 8, 2011

UKODAKI WA WADAU NA SHOW YA KING KIKI MASSACHUSETTS

Wadau wa Boston,Springfield na New York wakipata picha ya pamoja wakati walipokua wakiserebuka na nyimbo za Maestro King Kikii show iliyofanyika Jumamosi November 5,2011 mjini Leominster,Massachusetts,Nchini Marekani.
Shoto ni Nana Cherry Mamalisa akipata picha na rafiki yake kwenye show ya King Kiki iliyofanyika Jumamosi November 5,2011 mjini hapo,Leominster,Massachusetts.
Ni Ukodak moment na Maestro King Kiki
Nana Cherry Mamalisa(kulia)akipata Ukodak moment na mmoja ya rafiki yake kwenye show hiyo.
Nana Cherry Mamalisa(shoto)akipata Ukodak na Andy Swebe(kati) na kulia ni Jojo.
Nana cherry akipata piha na mdau.
i Juu na chini ni mambo ya kitambaa cheupe.
Kama uonavyo kila mtu anataka picha za kumbukumbu na kina Andy na King Kikii.
Nana Cherry Mamalisa(shoto)akipata picha na Rafiki yake.
Wadau nao wakipata picha ya pamoja.

No comments: