ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 11, 2011

MARAFIKI WA TANZANIA WAJUMUIKA NA WATANZANIA NEW YORK KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50

Marafikiwa Tanzania Wamarekani waishiyo New York,NY,Nchini Marekani wakiwa na mmoja wa kiongozi wa Jumuiya ya Watanzaniani wa New York,Shabani,wakicheza moja ya wimbo na huku wakishikilia vitambaa vyenye rangi ya Bendera Ya Tanzania katika kusherehekea Miaka 50 ya UHURU Tanzania Bara ambapo Jumuiya hiyo ya Watanzania waishio New York na Connecticut waliadhimisha Jumamosi ya December 10,2011
 Watanzania wakijumuika pamoaja kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU Tanzania Bara mjini New York,NY.
 Watanzania wakipa picha ya kumbukumbu katika hii siku ya kuhistoria ya kusherehekea miaka 50 ya UHURU iliyofanyikia katika Ukumbi wa Malcolm X,Manhattan,New York.
 Watanzania wakijumuika pamoja katika kusherehekea miaka 50 ya UHURU wa Tanzania Bara,New York
 Watanzania wa New York wakipata picha ya pamoja.
 Watanzania wa New York wakipata picha ya pamoja na wenzao waliokuja kujumuika nao katika kusherehekea miaka 50 ya UHURU wa Tanzania Bara ilyoyofanyika katika ukumbi wa Malcolm X,Manhattan,New York.
 Watanzania wa New York wakijipakulia maakuli katika sherehe za miaka 50 ya UHURU iliyofanyikia katika Ukumbi wa Malcolm X,Manhattan,New York.
 Watanzania wakijumuika pamoja katika kujipakulia maakuli kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU zilizofanyikia Manhattan,New York.
 Maakalu ikiendelea
Watanzania wa New York wakijumuika pamoja katika sherehe za miaka 50 ya UHURU,Manhattan,New York.

No comments: