Baadhi ya mashabiki wa mchezo wa ngumi wakiingia ukumbini
Rais wa Chama cha Ngumi za KUlipwa TPBO Yasin Abdalah akitangaza
matokeo
Mashabiki wa mchezo wa ngumi wakifuatilia mpambano
Ramadhani Nassibu kulia akipambana na Antoni Kariuki wa kenya Jana
Nasibu arishinda kwa Point
Ramadhan Nassibu(shoto) akimtupia konde la mkono wa kushoto mpinzani wake Atoni Kariuki kutoka Kenya
Ramadhani Nassibu akinyoshwa mkono juu na Refarii Said Chaku wakati wa
mpambano wake na Antoni Kairuk(PIcha na
No comments:
Post a Comment