ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 11, 2011

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU NEW YORK ZAFANA

 Mh.Naibu Balozi Mama  Munanka kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani,Washington,DC akijumuika na Watanzania wa New York ambao Jumamosi ya December 10,2011 wamesherehekea Miaka 50 ya UHURU Tanzania Bara kwenye ukumbi wa Malcolm X uliopo Manhattan,New York,Nchini Marekani
 Ma Dj wa Kesho wakisugua CD kwenye sherehe za Miaka 50 ya UHURU zilizofanyika New York,NY.
 Watanzania waliojumuika pamoja kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU,mjini New York
 Balozi wa Somalia akiwa na mkewe nae ni miongoni ya wageni waliofika kwenye sherehe hizo zilizofanyikia New York kwenye ukumbi wa Malcolm X katikati ya Jiji la Manhattan,New York Jumamosi ya December 10,2011.
 Wanafamilia Watanzania waishio New Yorka wakijumuika na wenzao katika kusherehekea miaka 50 ya UHURU wa Tanzania Bara.
 Wapendanao hawa wakiwa kwenye sare nyekundu rangi ambayo huvaliwa sana mwezi huu wa December kwa ajili ya shamrashamra ya sikukuu ya Christmas,nao wakijumuika na Watanzania wenzao New York kusherehekea miaka 50 ya UHURU Tanzania Bara.
 Watanzania hawa wakipata picha ya pamoja kwenye sherehe hizo za miaka 50 ya UHURU zilizofanyikia kwenye Ukumbi wa Malcolm X katikati ya Manhattan,New York,Nchini Marekani.
 Watanzania wakijumuika na wenzao katika sherehe za miaka 50 ya UHURU zilizofanyikia kwenye ukumbi wa Malcolm X,katikati ya Jiji la Manhattan,New York
 Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja
 Wanandugu wakipata Ukodak moment kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU zilizofanywa na Jumuiya ya Watanzania waishio,New York 
 Mtanzania akiwa na rafiki yake wakijumuika pamoja na Watanzania New York na Connecticut katika ksherehekea Miaka 50 ya Uhuru mjini humo.
 Watanzania wa New York wakipata picha ya pamoja kwenye sherehe hizo zilizofanyika katikati ya jiji la Manhattan,New York.
 Watanzania wakiwa na furaha kuwa katika historia ya sherehe za miaka 50 ya UHURU zilizofanyikia katika Ukumbi wa Malcolm X katikati ya Jiji la Manhattan,New York
Kwa picha zaidi Bofya Read More
.

1 comment:

Anonymous said...

Duh! Ebra NY mbishi. Duh! watu wabishi.