ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 10, 2011

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WASHINGTON,DC

 DMK poromota akipata Ukodak Moment na mmoja ya mdau aliyefika kwenye Disco la kusherehekea Miaka 50 ya UHURU Tanzania Bara lililofanyika 1318 13th St,NW kwenye kiota kinachoitwa MOOD LOUNGE ambapo leo sherehe hizo zitaendelea tene leo zikichanganywa na UHURU wa KENYA kwenye kiota cha RIO kilichopo Laurel,Maryland
 DMK(katikati) na akipata Ukodak moment na wadau waliokuwepo kwenye kiota hicho
 DC Sisters,Khadija na Tamia(kulia) wakipata Ukodak Moment kweli ni miaka 50 ya UHURU si mchezo
 Dick Small na Aminata nao ndani ya mjengo
 Tosi na mama mwenye nyumba wake nae ndani ya nyumba
Wadau wakipata Ukodak wa pamoja

LEO JUMAMOSI WASHINGTON DC MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA & KENYA PARTY PAMOJA

Wageni Rasmi Kutoka Ubalozi wa Tanzania na Kenya Wamethibitisha Kufika Katika sherehe za Uhuru wa Tanzania na Kenya Zitakazo fanyika Kesho pale RIO Lounge,13501 Baltimore avenue,Milango itakuwa wazi kuanzia 8pm,Wageni rasmi kufika 10pm,Party kuendelea hadi 3am,Watanzania tunaombwa tujitokeze kwa wingi Kuendeleza ushirikiano wetu mzuri wa Africa Mashariki.Mungu Ibariki Tanzania!

No comments: