ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 9, 2011

WAPENDANAO WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU KWA MBWEMBWE

DULLAH NA ZAY B WAKIWA KWENYE PICHA YAO YA ZILIPENDWA
DULLAH NA ZAY B KATIKA PICHA YAO YA MIAKA 50 YA UHURU

6 comments:

Anonymous said...

Hii kalikweli miaka 50 kwa mbwembwe!hii nimeipenda sana.Inaelekea zamani sana,lakini sio 61 hii.Miaka mingapi hapa wandugu?hongereni kwa mapenzi yenu inaelekea mupo kitambo,big up sis and bro.

Anonymous said...

ZayDullah inaonyesha ni jinsi gani mikuku ya kimarekani ilivyowachange. i reall like the pic tho.

Anonymous said...

growing old together, nice. akina kaka wa kibongo mlioko marekani take notes siyo mnarukaruka kama njiwa kutwa mnabadilisha wanawake kama soksi!

Anonymous said...

hongera mzee poa sana vijana wanatakiwa waige mfano wenu kwa kukaa pamoja muda mrefu bila ya kuigiza mambo ya kisasa.

Anonymous said...

Duuh!! washikaji hio ni babukubwa!!! nasikia leo ni anivesari yenu nimeona kwenye uso wa kitabu.hongereni sana mapenzi kama haya adimu sana usawa huu kumbe tangu bongo duu!.hamna mtu mwembamba hebu ona mlivyo nawiri sasa kukompea na zamani.nitawasaluti kila nnapowaona kuanzia sasa

Anonymous said...

eee bwana eee,dullah yoo. Ulikua mwembambaaa halafu unaonekana kama msomali,una asili ya kisomali nini?dadangu sio mchezo kutuvumilia sie vijana wa kiume tangu ujana hadi hapo mlipo daa big up!nawasaluti sana hongera vijana.Lakini daaa mmechana kishenzi sio kama picha ya zamani.