Advertisements

Monday, January 30, 2012

Chadema wazindua kampeni Uzini - Zanzibar.

Juu na chini ni mkutano wa uzinduzi kampeni za CHADEMA Uzini leo.
Viongozi wa CHADEMA wamehudhuria maziko kwanye wadi ya Bambi eneo jirani na ulipofanyika mkutano wa uzinduzi kampeni.
Viongozi wa CHADEMA walipowasili uwanja wa ndege Zanzibar.
Msafara wa magari wa viongozi wa CHADEMA ukitokea uwanja wa ndege, Zanzibar ukielekea Uzini kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni wa chama hicho.
Kibao cha barabarani kikikuonyesha Mji wa Uzini.
Tawi linaloitwa Umoja wa Mataifa lililopo Uzini lenye bendera za vyama vya siasa zikiwa pamoja.

Picha kwa hisani ya Kapingaz Blog

No comments: