Advertisements

Tuesday, January 31, 2012

HAFLA FUPI YA BIRTHDAY YA MH. BALOZI MWANAIDI MAAJAR

Hafla futi ya chakula cha mchana aliyotayarishiwa Mh. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar na maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyokua January 12, 2012.
 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mh. Mwanaidi Maajar (watatu toka kushoto) akiwa pamoja na maafisa na wafanyakazi kwenye Hafla fupi ya chakula cha mchana katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia kwenye ofisi za Ubalozi wetu, Washington, DC.
 Kutoka kushoto ni Mh. Naibu Balozi Mama Lily Munanka, Afisa Ubalozi, Dr Switebert Mkama, Mh. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar, Mariam Mkama na Afisa Ubalozi, Abbas missana wakijipakulia chakula katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mh. Balozi Maajar ambayo ilikua rasmi January 12, 2012.
 Mariam Mkama (kushoto) akiwa na Afisa Ubalozi, Abbas Missana wakipata vinywaji.

2 comments:

Anonymous said...

Mona hakuna ndovu hapo.

Anonymous said...

Heri ya Siku yako Maalum ya Kuzaliwa, Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Maajar. Mungu Akubariki na ninafurahi kuona kuwa siku yako ya kuzaliwa inaongozana na ya kwangu ambayo ni tarehe 13 Januari. Mtanzania Mkereketwa Joyce.