Advertisements

Tuesday, January 31, 2012

LEO JAN 31, 2012 NI MIAKA 2 TANGU VIJIMAMBO ILIPOANZISHWA NA IMEISHAFIKISHA WASOMAJI ZAIDI YA MILIONI MOJA

hii ndio post  iliyokuwa ya kwanza kwenye Vijimambo 
January 31, 2010 saa 12:33 (6:33pm)
Stars United,Uganda na Zambia kuchuana Boston,April 23

Stars United

Zambia

Uganda

 Keki ya First Anniversary ya Vijimambo ilyotolewa na Loveness Mamuya.
 Mpwa akilishwa keki ya Anniversary ya kwanza ya Vijimambo na Mercy Ligate siku ya January 31, 2011, Millenium Club, iliyopo Hyattsville, Maryland.
Vijimambo Sister, Latifa akijumuika pamoja kwenye Hafla fupi ya Vijimambo kutimiza mwaka mmoja.
 Kutoka kushoto ni Dullah B Zay, Ismah, Mpwa, Taji na Khalfan Lyimo wakijumuika pamoja na Mpwa kwenye Hafla ndogo ya kusherehekea mwaka mmoja wa Vijimambo, sherehe zilifanyikia Club ya Millenium iliyopo Hyattsville, Maryland January 31, 2011.
 Poromota Phanuel Ligate akilishwa keki na mama mwenye nyumba wake, Mercy Ligate.
 Wadau wa Vijimambo wakiendelea kujihudumia na keki ya mwaka mmoja wa Vijimambo
 Kocha akiwa mmoja wa waliojumuika kwenye Halfa fupi ya Vijimambo iliyofanyikia Millenium Club, January 31, 2011.
 Wadau wa Vijimambo wakipata suna na keki ya Vijimambo.
 Wadau wa Vijithings, Roger, Sunday Shomari, DMK na Mdau ambae ambae jina halikupatikana wakijumuika pamoja
 Wadau wa Vijimambo wakiwa kwenye Anniversary ya Mwaka mmoja.
 Wadau wakipata picha ya pamoja
Wadau wa Vijimambo wakipata picha ya pamoja. 
Sherehe za miaka miwili ya VIJIMAMBO zitafanyika March 31, 2012 Mirage Hall

2 comments:

Rachel Siwa said...

Kheri na Mafanikio, kila inapoitwa leo!!!!

Anonymous said...

Hongera sana Mpwa Luke kwa mafanikio mema katika mwaka mmoja wa Vijimambo. Endelea na moyo huo huo wa kutuhabarisha taarifa mbali mbali za kijamii.