Polisi wakiwakamata vijana waliofanya fujo wakati wa mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro Halima Dendego ( hayupo pichani) katika Kijiji cha Msowero, baada ya wananchi wa Vijiji vya Mambegwa na Msowero kufunga Barabara ya Kilosa- Dumila kwa magogo na mawe wakishinikiza kusikilizwa madai yao ya migogoro ya mipaka ya vijiji vya wafugaji na wakulima juzi. (Picha na John nditi). |
No comments:
Post a Comment