![]() |
| Madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakitoka kwenye kikao chao cha dharura jana hospitalini hapo ambapo waliunda kamati ya kwenda kumuona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuzungumzia mgomo wa madaktari nchini. (Picha na Robert Okanda) |

No comments:
Post a Comment