![]() |
| Christinavina Cryor Enzi ya Uhai Wake |
Watanzania wenzangu DMV imefunguliwa A/c kwa ajili ya kusaidia maziko ya ndugu yetu, dada yetu, Mtanzania mwenzetu na mpendwa wetu, Christavina Kusaga Cryor.
Gharama kamili kuanzia Funeral Home na maziko ya marehemu zitajulikana leo, kama kawaida yetu Watanzania, msiba huu ni wetu sote.
Bank ni CAPITAL ONE ROUTING 255071981 A/C 1351500295 Tafadhali jitahidi kuchangia chochote utakachoweza ili kisaidie kupunguza gharama na hatimae kuwezesha maziko ya mpendwa wetu.
Bank ni CAPITAL ONE ROUTING 255071981 A/C 1351500295 Tafadhali jitahidi kuchangia chochote utakachoweza ili kisaidie kupunguza gharama na hatimae kuwezesha maziko ya mpendwa wetu.
Watoto wa marehemu wanakuomba msaada wako ili uwezeshe mpendwa mama yao apate mapumziko kwenye nyumba yake ya milele, Mume wa marehemu anaomba huruma yako anasema mpendwa mke wake ameteseka sana, anaomba usaidie asiendelee na kuumia na baridi ya funeral home kutoa ni moyo na anatanguliza shukrani zake kwa msaada mkubwa mnaotoa bila wewe hajui angefanyaje kusema, ukweli ni ngumu kumpoteza kipenzi chako mama wa watoto wako.
Msiba upo
3237 75th Avenue Apt 201,
Landover, MD 20785.
Kwenye GPS wakati mwingine ukiingiza Landover inakataa na inapokataa ingiza Hyattsvile
Tunaomba tujumuike pamoja tuweze kuwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu na hatimae kufanikisha maziko ya mpendwa wetu Christavina Kusaga Cryor.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

1 comment:
i miss u so much, may ur soul rest in peace..
Post a Comment