RAIS KIKWETE NA MAMA SALM A KIKWETE WAMJULIA HALI JENERALI MSTAAFU
Rais Jakaya Kikwete (aliyekaa) na mkewe, Mama Salma Kikwete (kulia) wakimjulia hali Jenerali mstaafu Ernest Kyaro jijini Mwanza jana. Jenerali Kyaro alikuwa Mkuu wa Majeshi katika serikali ya Awamu ya Kwanza. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment